Jessica Mshama

Jessica Mshama

Kiongozi wa Vijana Mjasiriamali Mgombea Ubunge – EAC Mwakilishi wa Kimataifa wa Vijana wa Jumuiya ya Madola(Commonwealth) Forbes 30 Under 30 Africa Balozi wa Vijana EAC Mjumbe wa Bodi ya TSOS Forbe woman Africa 2025(Technology and innovation)
0758 299 425
officialjessicamshama@gmail.com
Tanzania | Kimataifa

Kujenga Afrika Mashariki yenye mshikamano, maendeleo ya pamoja, na vijana wenye uwezo wa kiuchumi na kijamii.

Muhtasari kamili (Biography & Dira)

Jessica Mshama ni mjasiriamali na kiongozi wa vijana kutoka Tanzania, anayejikita katika kukuza elimu ya kidijitali, uwezeshaji wa kiuchumi na maendeleo ya vijana lakini pia Jessica Mshama ni Mjumbe wa Bodi wa Their Story Is Our Story (TSOS), shirika la kimataifa linalojikita katika kusimulia hadithi za wakimbizi, kukuza huruma, na kushawishi sera zinazounga mkono jamii zilizolazimika kuhama makazi yao duniani kote.. Alisoma masuala ya biashara na fedha katika Catholic University of Eastern Africa, Nairobi. Licha ya wazazi wake kumtia moyo kusoma nje ya nchi, alichagua kurejea Tanzania baada ya masomo yake kwa lengo la kuchangia maendeleo ya jamii na kuunda fursa za kijamii na kiuchumi kwa vijana.

Falsafa ya Maisha: Ujuzi wa kidijitali na elimu ni msingi wa kujenga jamii yenye usawa na fursa sawa. Anaamini kuwa vijana wenye ujuzi wa teknolojia wana uwezo wa kuleta mageuzi.

DIRA YA UONGOZI: Kujenga Afrika Mashariki yenye mshikamano, maendeleo ya pamoja, na vijana wenye uwezo wa kiuchumi na kijamii kupitia sera bunifu, teknolojia, na ushirikiano wa kikanda.

Elimu na Mafunzo (Academic)

  • Shahada ya Uzamili (Uongozi na Utawala) – MS Training Centre for Development Cooperation (2025–2026)
  • Cheti cha Uzamili (Mahusiano ya Kimataifa) – Harvard University, Boston (2024–2026)
  • Cheti cha Kukamilisha Mafunzo ya Bajeti (Budgeting) – Harvard University (2024)
  • Cheti – MEXOXO Take the lead – Leadership, Entrepreneurship, Time Management (2023)
  • Cheti cha Uzamili – Diplomasia ya Uchumi wa Kimataifa – Dr. Salim Ahmed Salim Centre for Foreign Relations (2021–2023)
  • BRICS Summer School – Durban University of Technology, Afrika Kusini (2022)
  • Shahada ya Kwanza (Finance) – Catholic University of Eastern Africa, Kenya (2021–2022)
  • Stashahada (Usimamizi wa Biashara) – Catholic University of Eastern Africa (2014–2015)

Ujuzi (Skills)

Mipango MkakatiElimu na Mafunzo ya KidijitaliUongozi na Usimamizi wa Timu Uchangishaji RasilimaliUongeaji wa UmmaUsimamizi wa Fedha na Bajeti Ushirikiano wa Tamaduni TofautiUtetezi wa Masuala ya Jamii

Lugha

  • Kiingereza – Fasaha
  • Kiswahili – Lugha Mama
  • Kifaransa – Kiwango cha Kati

Uzoefu wa Kazi na Uongozi

Katibu uhamasishaji na chipukizi UVCCM Taifa
2025 – Sasa
Kusimamia mikakati ya uhamasishaji wa vijana na chipukizi kitaifa, kuongeza ushiriki katika siasa, maendeleo ya kijamii na kiuchumi.
Msaidizi Mtendaji (Executive Assistant) – RocketStar.NYC, Manhattan, Marekani
2023 – 2024
Usimamizi wa taarifa za siri, kuandaa nyaraka rasmi, kuratibu mikutano ya ngazi ya juu.
Mwanzilishi na Mkurugenzi – Nakua na Taifa langu, Tanzania
2018 – Sasa
Kuongoza kampeni za uchangishaji rasilimali, mikakati ya kitaifa na kimataifa kukuza taasisi.
Mkurugenzi wa Shule – Assumpter Digital Schools, Dar es Salaam
2021 – Sasa
Kubuni mitaala ya elimu ya kidijitali, usimamizi wa shule, ushirikiano na wadau.
Mkurugenzi – Jsisters enterprises, Tanzania
2017 – 2021
Mikakati ya masoko, uboreshaji wa ugavi, kujadili mikataba.
Mjumbe Bodi ya BASATA na Mwenyekiti kamati ya maendeleo ya Sanaa, Mipango na Fedha 2021 hadi 2026
Kuongoza Maendeleo ya sanaa,Mipango na Fedha

Tuzo, Heshima na Majukumu ya Kitaifa na Kimataifa (Full List)

Balozi wa Vijana – EAC (2021–Sasa)Balozi wa Vijana Kimataifa – EEAS 40 Under 40 Africa 2024Forbes 30 Under 30 Africa 2023 Kiongozi wa Nchi – NAM Youth Organization 2024Mjasiriamali Bora wa Mwaka 2023 Mwakilishi wa Vijana – COP28Vijana 30 Wenye Ushawishi Afrika (Creative Industry) Mshauri & Mwakilishi – UNGA77 2022Global Youth Influencer (EU, EFTA & G20) Mwanzilishi Young Women Entrepreneurs TCCIA 2021Balozi wa Vijana EAC (Tena) African Union Youth Forum 2020Malkia wa Nguvu (Ajaye) 2019 Best Tanzanian Change Maker 2020Best Social Influencer Africa 2019 Best Global Change Maker 2019Best Corona Change Maker 2019 UN75 Delegate 2020Best Entrepreneur Africa (Zikomo Awards) 2021 Best Entrepreneur Model 2021 (Women's Award)Vijana 100 Bora Tanzania One Young World Academy (Bill & Melinda Gates)One Young World Ambassador (Pfizer) 2022 Mtu Mwenye Ushawishi Mkubwa wa Mwaka (Zikomo) 2022Mjumbe wa Bodi – BASATA Mwenyekiti Kamati ya Maendeleo ya Sanaa, Mipango na Fedha BASATAKiongozi Mkuu Tanzania Chapter NAMYO Mwakilishi Bodi ya Kimataifa NAMYO (Afrika)Mjumbe Bodi Kimataifa NAMYO (Nchi 93) Cheti Utambuzi – Clinton Global Initiative University 2023Expert – International Youth Forum InterYES! 3.0 (2023) Commonwealth Youth Forum 2024Forbes Woman Africa Technology & Innovation Award 2025

Jukumu Katika NAM Youth Organization (NAMYO)

Jessica ni mjumbe wa Bodi ya Utendaji ya NAMYO, anachangia kupanga mwelekeo wa kimkakati, akitetea maslahi ya vijana kutoka nchi zisizofungamana na upande wowote. Makao makuu Azerbaijan, matawi nchi 93 duniani, chini ya Wizara ya Mambo ya nje ya Azerbaijan. Pia ni mwakilishi wa Bodi ya Kimataifa anayei wakilisha Afrika.

Maendeleo ya Kazi na Athari (Career & Impact)

  • Uongozi wa Kibiashara: Alichukua na kuendeleza biashara za familia (supermarket, bakery, ufugaji wa kuku, asali) – kumjengea uwezo wa vitendo katika ujasiriamali.
  • Elimu ya Kidijitali na Ujasiriamali: Mwanzilishi wa Assumpter Digital Schools na taasisi yake Nakua Na Taifa Langu, kuwaandaa vijana kwa ujuzi wa teknolojia, fedha na ujasiriamali.
  • Uongozi wa Vijana: Amewakilisha vijana UNGA, COP28, na sasa Katibu UVCCM Taifa na mjumbe BASATA kukuza sanaa, utamaduni na ubunifu.
  • Tuzo Maalumu: Forbes Woman Africa Technology & Innovation Award (2025) kwa mchango wake katika elimu ya kidijitali na uwezeshaji wa wanawake.

Wadhamini (Referees)

Mheshimiwa Dkt. Peter Mathuki
Katibu Mkuu, Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)
S.L.P 1096, Arusha, Tanzania | Simu: +255 (0)27 216 2100 | Email: sgoffice@eachq.org
Bw. Kilian Nyaulingo
Mhadhiri, Kituo cha Mahusiano ya Kimataifa (Centre of Foreign Relations)
S.L.P 2824, Dar es Salaam, Tanzania | Email: kilian@cfr.ac.tz

Uthibitisho wa Kimataifa: Cheti cha Ushiriki kama Mtaalamu (Expert) – International Youth Forum of Public Diplomacy InterYES! 3.0, na Commonwealth Youth Forum 2024.

"Kujenga kizazi chenye ujuzi wa kidijitali, uwajibikaji na uwezo wa kujitegemea kiuchumi – kwa Afrika tuliyotaka. Ninaamini katika nguvu ya vijana kuleta mageuzi."

Jessica Mshama | Balozi wa Vijana EAC · Mjumbe Bodi NAMYO · Mgombea Ubunge EAC

© 2026 | Jessica Mshama — portifolio Identity System